Sikiliza hapa ngoma toka kwa Dax Kichomi,mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la North Dwellers lililopo pande za kaskazini,hapa akiwa na Maujanja Saplayaz,Bou Nako pamoja na J Deal ambaye ni msanii mpya anayesimamiwa na producer John B wa Grandmaster Records,hii ikiwa ni moja ya ngoma zitakazoitambulisha mixtape ya Dax inayotarajiwa kutoka mapema mwakani