BAADA YA UVUMI KUA MCHUMBA WA DIAMOND KUA KAZIMIA NA KAPELEKWA HOSPITALI BAADA YA KUZIMIA, AKANUSHA! HIKI NDO ALICHOSEMA

Girl Friend wa msanii wa bongo fleva 'Diamond' leo jioni amenitumia text kunifahamisha kuwa ' Alikuwa Kazini Siku Nzima Na Kuwa Hajapata Tatizo Lolote Leo Kuhusu Afya Yake. Taarifa Zilizo Sambaa Kuwa Alizimia Na Kupelekwa Hospitalini Sio Za Kweli Kabisa.