DIAMOND KUFANYA SHOW NCHINI CHINA, SOMA ALICHOKISEMA HAPA

Msanii anayekubalika zaidi Tanzania Diamond Platnumz, ameweka post kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kua anategemea kutoa burudani nchini China Guangzhou ndani ya  Rich Club Tarehe 18/10/2013 Ijumaa ya wiki Ijayo.