SPITBANK FORT, HOTEL ILIYOJENGWA MIAKA 134 ILIYOPITA KATIKATI YA MAJI HUKO UINGEREZA. JIONEE WENYEWE JINSI ILIVYO KALI

HOTELI ya Spitbank Fort ikionekana kwa juu ikiwa imejengwa mwaka 
1879 katikati ya kina maji ya habari nchini Uingereza  ikiwa na umri wa miaka 134.