TAZAMA PICHA ZA OMMY DIMPOZ ALIVYOANDALIWA DINNER YA KUFA MTU NA MWANADADA HUKO MAREKANI..!!


SALOME NA MGENI WAKE OMMY DIMPOZ KATIKA POZ

Baadhi ya Waalikwa akiwemo Promoter "DMK" katika Picha wakati wa chakula nyumbani kwa Salome Frederick Maryland.Salome alimwalika Dimpoz Pamoja na Baadhi ya Marafiki zake katika Chakula cha jioni kilicho andaliwa nyumbani kwake.Mbali na chakula Pia watu waliburudika na Vinywaji laini laini hadi majogoo.

SALOME KATIKA  POZ LA KUSIMAMA na MR POZ KWA POZ 



QUIZELA AKIWA KATIKA POZ NA OMMY DIMPOZ


Habari za Kuaminika nikuwa Dinpoz anapenda sana Watoto ebu angalia akiwafundisha mapoz

Dimpoz katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya Wageni Waalikwa wa Dinner hiyo Nyumbani Kwa Salome

Dimpoz the Uncle katika Poz na Model wa Salome "Nyambona"