DIAMOND AONYESHA MIKUFU NA VITU VYAGHARAMA ANAVYOMILIKI, CHEKI VIDEO HAPA

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platinumz, siku ya jana ya tarehe 10, alipost video akionyesha Bling Bling  kwenye mtandao wake wa kijamii wa instagram, Tazama video clip hio ya Raisi wa wasafi akionyesha vitu hivyo vya gharama …