NEW!!VIDEO MPYA YA LUCCI - SUMU

Producer wa Transformax Records na muimbaji, Lucci Da Don ameachia video ya wimbo wake mpya, Sumu. Video ya wimbo huu imeongozwa na Nisher. Ni video ya studio inayohusisha dancers wa kike na wa kiume wakicheza pamoja na wengine wakicheza na Lucci. Sumu ni wimbo wa mapenzi ambapo Lucci anamuongelea demu kicheche anayemuona hatari kama Sumu japokuwa anamchanganya kwa ujuzi wake. Icheck video hii.