Watani
wa jadi nchini Simba na Yanga leo jioni wanashuka katika uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam kupambana katika mchezo wa ligi kuu ya
Vodacom
Tanzania Bara, huku Simba ikiwa na rekodi nzuri ya kuifunga
Yanga mabao 5.
Kila upande umekuwa ukitamba kuibuka na ushindi leo