Mtindo wa msanii Madee kufungua mkanda na kuacha unaning'inia kama unavyoonekana pichani imekuwa ni kama tabia inayojiendeleza siku hadi siku, kwa mara ya kwanza namuona Madee akiwa hivyo ilikuwa kwenye tamasha la Kili Tour dsm nilidhani ameshiba sana ha hivyo kuamuakuachia mkanda wazi lakini imekuwa kibyume maana kila napokutana nae naona muonekano ule ule na kuja kujiuliza kuwa ile ni fashion yake ya kipekee ama nn?